Baada ya mwanamuziki Lavalava kudai kuwa aliwahi kutoka kimapenzi na mwanadada Lulu Diva na kuwa kwa sasa amebaki kuwa kama dada kwake, msanii Diva amemjia juu Lavalava kwa ku...
Mkali wa Hip-hop kutoka Marekani Diddy Combs ameripotiwa kusafisha ukurasa wake wa Instagram kwa kufuta posti zote alizowahi ku-share kwenye mtandao huo ikiwemo video yake ya ...
Bondia wa ngumi za kuliwa kutoka Marekani Ryan Garcia amefungiwa mwaka mmoja kujihusisha na masuala ya ngumi baada ya kuthibitika kutumia dawa iliyopigwa marufuku kabla na baa...
Mwigizaji Donald Sutherland, kutoka nchini Canada aliyejulikana kupitia filamu zake kama ‘The Hunger Games’ na ‘MASH’, amefariki dunia akiwa na umri wa...
Mfanyabiashara kutoka Marekani Kylie Jenner aangua kilio kutokana na mashabiki kuunanga mwonekano wake wa sasa baada ya kufanya surgery.Kylie ameeleza maumivu anayoyapitia kat...
Mwanamuziki Travis Scott ameripotiwa kuachiwa huru kwa dhamana, baada ya kukamatwa siku ya Jana Alhamis asubuhi kwa kosa la ulevi kupindukia.Kwa mujibu wa tovuti ya Cnn, Travi...
Msanii Tems amejipa maua yake kwa kudai kuwa mwanaume atakaye mchumbia au kuwa naye katika mahusiano basi atakuwa amepata ua adimu.
Mwanamuziki huyo aliyasema hayo wakati akio...
Mwanamuziki wa Marekani George Strait amevunja rekodi nyingine katika taaluma yake ya muziki kwa kuujaza uwanja na kuifanya show yake hiyo kuweka historia mpya ya mauzo ya &ls...
Dar es Salaam. Ngoma mpya ya Diamond Platnumz, Komasava imeendelea kuteka mioyo ya mashabiki dunia na sasa supastaa wa Marekani, Chris Brown ameonekana akicheza wimbo huo kupi...
Mkali wa Afrobeats kutoka Nigeria, #Davido amemshitaki mama watoto wake aitwaye Sophia Momodu, kwa kwa kudai huduma ya malezi iiliyopitiliza ya binti yake wa kwanza, aitwaye I...
Mwanamuziki wa #BongoFleva, #Harmonize ameamua kuzama DM ya ‘rapa’ kutoka Marekani #Meekmill akiomba kufanya naye kazi ya muziki.
Kupitia #Instastori ya Harmonize ...
Mwanamuziki kutoka visiwa vya Barbados, #Rihanna amepata shavu katika kampuni ya ‘Christian Dior’ inayojihusisha na masuala ya utengeneza nguo na urembo kwa kuteng...
Baada ya mwanamuziki wa Marekani Chris Brown ku-share video kupitia mtandao wake wa TikTok akicheza ngoma ya ‘Komasava’ ya Diamond, msanii Zuchu amemwagia sifa Sim...