Asma Hamis
Kila ifikapo Alhamisi ya kwanza ya mwezi Novemba dunia inaadhimisha siku ya Wanaume kupika au kuandaa chakula cha jioni.
Kwa mujibu wa tovuti ya ‘National Day Calender’ imeeleza kuwa siku hii ni maalumu kwa wanaume ambao hawana desturi na hawapendi kuingi jikoni na kuandaa chakula.
Unaweza kusheherekea siku hii wewe kama mwanaume kwa kuandaa chakula kwa ajili ya familia, marafiki au kumuandalia mpenzi wako.
Siku hii iliundwa na Sandy Sharkey mwaka 2001 kwa lengo la kuwapa motisha na kuwasaidia wanaume wote wasio penda kuingia jikoni kupata fursa hiyo angalau kwa mwaka mara moja.
Waaooooo, nilikuwa sijuwi wacha niwahi home nikampikie mke wangu kipenzi