Mcheza mpira wa kikapu wa NBA Lebron James amefuta urafiki na Diddy kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram baada ya video za hizi karibuni kusambaa zikimuonyesha msanii huyo a...
Kiungo mshambuliaji wa Chelsea, Cole Palmer ameshinda tuzo ya kinda bora wa msimu katika Ligi Kuu ya England kwa msimu wa 2023/2024.
Palmer (22) amewapiku Phil Foden, Erling H...
Mwanamuziki wa #Bongofleva nchini Nandy na msanii wake Yammi wanatarajia kuachia ngoma ya pamoja, hii ni baada ya ku-share tarehe rasmi ya kutoa wimbo huo ambayo ni Mei 22, 20...
Mchezaji kutoka ‘klabu’ ya PSG, Kylian Mbappé ameripotiwa kutumia Dola 566,514 ikiwa ni zaidi ya Sh 1.4 bilioni kununulia mchoro wa marehemu nyota wa soka w...
Mfanyabiashara wa madini na bilionea nchini Australia, Gina Rinehart, ameliomba jumba la Sanaa la Kitaifa la ‘Canberra’ nchini humo kuondoa picha yake ambayo hajap...
Bondia kutoka Uingereza Tyson Fury na bondia wa Ukraine Oleksandr Usyk, siku ya leo Mei 18, 2024 wanatarajia kupanda ulingoni kuoneshana ubabe ambapo watapigana raundi raundi ...
Mtangazaji na mwanaharakati kutoka nchini Marekani Candace Owens amedai kuwa mkali wa Hip-hop nchini humo Diddy hayupo jela mpaka sasa kwa sababu ni FBI/CIA.Kupitia ukurasa wa...
Baada ya video ya Diddy ikimuonesha akimpiga aliyekuwa mpenzi wake Cassie kuvuja na kusambaa katika mitandao ya kijamii, na sasa mume wa Cassie, Alex Fine ameyatoa ya moyoni h...
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria ameweka wazi kuwa kitu chake cha kwanza kununua baada ya kupata pesa ya kutosha alinunua nyumba ya ndoto zake.Ayra ameyasema hayo wakati akiw...
Baada ya kuandamwa na kesi toka mwishoni mwa mwaka jana Mkali wa Hip-hop kutoka Marekani huenda akafunguliwa mashitaka kutokana na video inayoendelea kusambaa kupitia mitandao...
Mwili wa marehemu mwigizaji kutoka nchini Nigeria Pope Odonwodo umewasili katika kijiji alichozaliwa cha Ukehe Igbo-titi Local Government Area Jimbo la Enugu, kwa ajili ya tar...
Aliyekuwa Meneja wa programu za #Facebook, Barbara Furlow-Smiles, ambaye alikuwa akikabiliwa na kesi ya ulaghai baada ya kuiba zaidi ya dola 5 milioni kutoka kwa kampuni hiyo ...
Mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini, Marioo amejipa maua yake kwa kudai kuwa yeye ndiyo msanii anayekimbiza zaidi katika bongofleva kwa kuwa na ngoma kali.Marioo ameyaeleza hayo...
Nyota wa ‘timu’ ya Taifa ya Ufaransa ambaye anajiandaa kuondoka katika ‘klabu’ ya Paris Saint-Germain (PSG) Kylian Mbappe amelikubali sanamu lake lilil...