Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni, hivi ndivyo unaweza kusema kutokana na njia wanayotumia jamii ya Santo Tomás kutoa hasira zao na kutatua migogoro.Jamii ya San...
Mwanamuziki na bilionea wa kwanza kutoka katika visiwa vya Barbados, Rihanna amezua hofu kwa mashabiki baada ya kuvaa 'tisheti' iliyoandikwa nimestaafuRihanna alivaa tishati h...
Mwanamuziki wa Kenya CMB Prezzo, amekutana na changamoto ya kiafya iliyopelekea adondoke na kukakamaa mwili wakati akifanyiwa mahojiano kwenye uzinduzi wa 'reality show' ya ms...
Ikiwa umepita mwezi, bila mashabiki kusikia chochote kuhusiana na bifu la wasanii Drake na Kendrick Lamar, sasa inaonekana kama Drake amekubali kushindwa, baada ya kufuta maud...
Anayeshikiria rekodi ya dunia ya mbio za barabarani za kilomita 10 na mshindi wa medali ya shaba ya Dunia ya mita 10,000 ya mwaka 2019 Rhonex Kipruto kutoka Kenya amepigwa mar...
Mwanamuziki mkongwe wa Bongo Fleva nchini, Rehema Chalamila maarufu Ray C ameweka wazi kuwa sababu ya kuondoka Tanzania na kuhamia Paris, Ufaransa ni kutokuwa sawa kiafya.Ray ...
Komenti ya mchezaji wa ‘klabu’ ya #AlNassr Cristiano Ronaldo akimpongeza Kylian Mbappé kupitia mtandao wa Instagram yaweka rekodi ulimwenguni kwa kupata lik...
Zikiwa zimepita siku chache tangu albumu ya mwanamuziki kutoka Afrika Kusini, Tyla kufikisha zaidi ya wasikilizaji (streams) bilioni moja katika mtandao wa Spotify na sasa ni ...
Mwigizaji kutoka Marekani Martin Lawrence amefichua siri kuwa aliwahi kuombwa kuigiza pamoja na mkali wa filamu za mkono Jackie Chan katika filamu ya ‘Rush Hour’ y...
Baada ya mtoto wa Kim Kardashian, North West kushambuliwa kupitia mitandao ya kijamii akifananishwa na kifaranga kupitia vazi lake la manyoa, sasa ni zamu ya mama yake kuzodol...
Baada ya kutoa taarifa kuwa anakuja na ngoma mfululizo kupitia ukurasa wake wa Instagram na sasa ‘rapa’ Mr Blue ametangaza kufungua studio yake ya muziki iliyoipa ...
Mwanamuziki wa Marekani Madonna amejibu kesi iliyokuwa ikimkabili ya kuchelewa kuanza kwa matamasha yake.Kwa mujibu wa nyaraka kutoka Mahakamani zilizochapishwa na Tmz Madonna...
Shirikisho la kimataifa la vyama vya soka (Fifa) limesisitiza kwamba aliyekuwa kinara wa mabao kwenye fainali za Afcon 2023, Emilio Nsue, hakupaswa kuichezea timu ya taifa ya ...
Mwanamuziki wa Marekani Sean Kingston siku ya jana Juni 4,2024 alisimamishwa kizimbani kutokana na tuhuma zinazomkabili za kuiba vitu vyenye thamani ya dola 1 milioni ikiwa ni...