Mawakili wa mwanamuziki kutoka nchini Marekani #PDiddy ambaye anakabiliwa na kesi mbalimbali za unyanyasaji wa kijinsia wamesema wana mpango wa kuyakataa madai ya moja ya kesi...
Inadaiwa kuwa tabia ya kuoga kila siku haina faida yoyote kwa afya ya binadamu, bali watu hufanya hivyo, wakihofia kutengwa na jamii, kwa sababu ya kunuka.
Kwa mujibu wa tafit...
Kipa wa zamani wa klabu ya Manchester United, David de Gea mwenye umri wa miaka 33, amerejea kwenye uwanja wa mazoezi kujifua upya baada ya kuwa nje ya uwanja kwa mwaka mmoja....
Mwanamke mmoja kutoka nchini Argentina anayefahamika kwa jina la Alejandra Rodriquez, amezua gumzo mitandaoni baada kushiriki mashindano ya Miss Universe akiwa na miaka 60 na ...
Jeshi la Polisi nchini Tanzania limewataka watu wenye taarifa tofauti juu ya ajali ya bodaboda iliyotokea alfajiri ya jana Ijumaa Aprili 26, 2024, eneo la Makonde, mkoani Dar ...
Rapa maarufu kutoka nchini Marekani #PostMalone amefunguka sababu ya kuchora tattoo usoni akidai kuwa alikuwa anatafuta mwonekano mzuri wa uso wake.
Kwa mujibu wa tovuti ya Da...
Kwa mujibu wa watafiti katika maabara ya Human-Animal Interaction (HAI) ya Chuo Kikuu cha Oregon State cha nchini Marekani webaini kuwa paka wanafurahia maisha zaidi wakiishi ...
'Hapoi haboi' kauli hii unaweza kumwelezea aliyekuwa mpenzi wa mchezaji wa klabu ya #AlNassr, #CristianoRonaldo, Irina Shayk baada ya kuachana na mpenzi wake wa sasa, To...
Klabu ya Liverpool ya England imefikia makubaliano na timu ya Feyenoord iliyo katika Ligi Kuu Uholanzi juu ya kumchukua kocha wa timu hiyo, Arne Slot kwa ajili ya kukiongoza k...
Kiungo wa klabu ya #Chelsea, #EnzoFernandez atakosa mechi zote zilizobakia za msimu huu baada ya kufanyiwa upasuaji wa nyama za paja ili awe ‘fiti’ kwa ajili ya ku...
Serikali ya Congo imeishutumu Kampuni ya Apple kwa kutumia Madini yaliyochimbwa kinyume na sheria Mashariki mwa nchi hiyo kutengeneza bidhaa zake.
Kupitia mawakili wa nchi hiy...
Imeripotiwa kuwa ‘klabu’ ya #ManchesterUnited italazimika kulipa pauni 60 milioni ili kumpata mchezaji wa klabu ya Crystal Palace F.C, Michael Olise msimu ujao.
Kw...
Baada ya mwanasheria wa familia ya Tupac, Howard King kumpa saa 24 rapa Drake kufuta ngoma ya‘ Taylor Made Freestyle’ aliyotumia AI (akili bandia) kutengenez...