Champion Sound ya Davido ndio Amapiano inayosikilizwa zaidi

Champion Sound ya Davido ndio Amapiano inayosikilizwa zaidi

Mtandao wa #Spotify umetangaza wimbo wa mwanamuziki kutoka nchini Nigeria #Davido  ‘Champion Sound’ aliyomshirikisha  msanii kutoka Afrika Kusini #Focalistic ndiyo wimbo wa #Amapiano uliyoongoza kwa kusikilizwa zaidi katika mtandao huo ndani ya miaka kumi.

Kulingana na tovuti ya ‘All Africa. Com’ imeeleza kuwa #Spotify ilitangaza wimbo huo katika onesho la siku ya vijana Afrika Kusini ambayo ni siku maalumu ya kutambua harakati vijana wa taifa hilo.

Hata hivyo nyimbo za Amapiano ndiyo aina ya muziki uliyoleta matokeo makunwa katika ulimwengu kwasasa lakini ndiyo muziki unao itambulisha tamaduni ya Afrika Kusini.

Ikumbukwe kuwa wimbo huo ulitoka mwaka 2021 ikiwa ni ngoma pekee kwenye albumu ya ‘Timeless’ ambayo inamfanya Davido kujizolea umaarufu nchini Afrika Kusini.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags