‘Rapa’ kutoka Marekani Kendrick Lamar ameripotiwa kuvunja rekodi ya marehemu msanii Tupac baada ya wimbo wake wa ‘Not Like Us’ kupata streams zaidi ya ...
Mwanasiasa kutoka nchini Nigeria, Peter Obi ameripotiwa kuingilia kati ugomvi wa wanamuziki Paul na pacha wake Peter Okoye, hii ni baada ya kuonekana nyumbani kwa RudeBoy siku...
Mfanyabiashara na msanii Joseph Francis, maarufu Mandojo anatarajiwa kuzikwa leo Jumatano Agosti 14, 2024 saa 10 jioni wilayani Manyoni, Mkoa wa Singida.Kutokana na ratiba ili...
Kundi la waruka sarakasi kutoka Tanzania liitwalo ‘Hakuna Matata Acrobats’ wanaendelea kufuata nyayo za ‘Ramadhan Brothers’, hii ni baada ya kutua kwa ...
Msanii wa Bongofleva, Bongo Movies na mjasiriamali, Zuwema Mohammed 'Shilole', amesema atafunga ndoa na mpenzi wake wa sasa muda si mrefu ujao, ikiwa ni ndoa yake ya nne tangu...
Prodyuza wa muziki wa kimataifa, Harmony Samuels a.k.a H Money, ameachia wimbo mpya uitwao 'Tic Tik' akimshirikisha gwiji kutoka Nigeria, Reekado Banks.Katika wimbo huo wenye ...
Kama ilivyo desturi kwa aliyekuwa Rais wa Marekani Barack Obama kila ifikapo katikati na mwisho wa mwaka kuachia Listi ya ngoma anazopenda kuzisikiliza, hatimaye usiku wa kuam...
Video ya wimbo unaoshikiria namba moja YouTube, Tanzania wa ’Komasava Remix’ umefikisha watazamaji milioni 10 ukiwa na wiki mbili tuu tangu kuachia kwake.Wimbo huo...
Mwanamke mmoja aitwaye Vera Liddell (68) ambaye pia alikuwa ni mkurugenzi wa huduma za chakula katika Shule ya Illinois, amehukumiwa kifungo cha miaka tisa baada ya kukiri kui...
Koti la marehemu mkali wa mpira wa kikapu, Marekani Kobe Bryant alilolivaa kabla ya mchezo wake wa mwisho wa NBA limeuzwa kwa dola 336,000 ikiwa ni zaidi ya Sh 910 milioni.Vaz...
Aliyekuwa msanii wa Bongo Fleva, Joseph Frank maarufu Mandojo anatarajiwa kuzikwa kesho eneo la Samaria, Wilaya ya Manyoni mkoani Singida.Mandojo alifariki dunia Jumapili Agos...
Mfanyabiashara Zari na mumewe Shakib wameripotiwa kugombana tena, hii ni baada ya mwanamuziki Diamond kutua Afrika Kusini kwa ajili ya kusheherekea siku ya kuzaliwa ya mtoto w...
Msanii wa Asake amefunguka sababu ya Davido kutokuwepo kwenye Album yake aliyoipa jina la ‘Lungu Boy’ inayotarajiwa kutoka hivi karibuni.Wakati yupo live kwenye In...