Utafiti: Mmoja kati ya wanne anaweza kuongezeka uzito msimu wa sikukuu

Utafiti: Mmoja kati ya wanne anaweza kuongezeka uzito msimu wa sikukuu

Kwa mujibu wa utafiti uliyofanywa na Talker Research umebaini kuwa mtu mmoja kati ya watu wanne anaweza kuongezeka uzito wa hadi kilo tano katika msimu huu wa sikukuu.

Wataalamu hao wanaeleza kuwa watu wengi duniani kote wanaamini kuwa mwisho wa mwaka ni mwezi wa mavuno hivyo hupendelea kula vyakula vyenye mafuta zaidi kuliko vile walivyokuwa wakivila miezi ya nyuma.

Aidha kwa mujibu wa utafiti huo pia umewataka watu kuzingatia ustawi wao wa kiafya mwaka 2025 kwa kulenga lishe bora, kuongeza mazoezi ya mwili na kuimarisha tabia ya kujitunza.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags