06
Utafiti: Mmoja kati ya wanne anaweza kuongezeka uzito msimu wa sikukuu
Kwa mujibu wa utafiti uliyofanywa na Talker Research umebaini kuwa mtu mmoja kati ya watu wanne anaweza kuongezeka uzito wa hadi k...
09
Kishk: Siyo lazima kuvaa abaya mpya Eid
Kutokana vazi la abaya kutrendi kwenye mitandao ya kijamii huku wengine wakidai kuwa ni lazima kuvaa vazi hilo katika sikukuu ya Eid El Fitr, Mkurugenzi wa Taasisi ya Al-Hikma...
28
Cardi B akanusha kurudiana na Offset
Baada ya kuzuka tetesi kupitia mitandao ya kijamii kuhusiana na ‘Rapa’ #CardiB kurudiana na aliyekuwa mumewe #Offset, hatimaye Cardi amekanusha uvumi huo. #Cardi a...
27
Sikukuu bila pilau inawezekana, Pika hivi kufurahisha uwapendao
Kama ilivyo kawaida yetu @Mwananchiscoop hatulazi damu, wiki hii katika biashara tunakusogezea mada ambayo haina mambo mengi kabisa kuhusiana na vyakula simple unavyotakiwa ku...
27
Hali ya bishara za nguo msimu huu wa sikukuu
Kama tunavyojua ni mwisho wa mwaka na kuna sikukuu kadhaa hapo mbele, ambapo watu wengi hujumuika pamoja kula, kunywa na kuvaa nguo mpya, kama ilivyo ada MwananchiScoop tumeam...
26
Hii hapa historia ya Boxing Day duniani
Kila ifikapo Disemba 26, dunia husherehekea sikukuu ya ‘boxing day’ ambayo mara nyingi huenda sambamba na kutoa na kupokea zawadi. Na huwa inafanyika siku ya pili ...
11
Tyga na Avril waanza upya
Ebane! Huko majuu kumenoga hatari famasiala na mapenzi wewe, bwana baada ya kusitisha uhusiano wao wiki chache zilizopita, wasanii kutoka Marekani Avril Lavigne na Tyga waunga...
30
Mtoto ajiua kisa hajapata nguo za sikukuu
Mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 13, Zamada Jafari, Mwanafunzi wa darasa la nne katika Kijiji cha Ikengwa Wilaya ya Kondoa Mkoa wa Dodoma amefariki dunia baada ya kujinyonga...
22
Vazi la kanzu lilivyo tamba sikukuu ya eid
Mambo niajeeee!!! Najua mko poa sana watu wangu wa nguvu leo sasa katika mambo yetu yale ya fashion tunaendelea kukujuza mambo kadha wa kadha yanayo usiana na urembo, kupendez...
16
Biashara ya matunda ilivyo na faida msimu huu
Ooooooh! Kama tunavyojua bwana mwezi huu  ni mwezi wa kufanya diet bwana, nimechunguza nikagundua kuwa watu wengi hupendelea kula matunda ili wasichoke sana wakati wa mfu...
15
Vazi la abaya linavyotamba kuelekea sikukuu za iddi
Hello mambo vipi!! Leo katika ulimwengu wetu wa fashion kama kawaida tunaendelea kukusogezea mambo mbalimbali yanayo husiana na urembo, mitindo, na fashion kwa ujumla. Kama tu...
01
Baadhi ya mastaa walivyosherehekea sikukuu ya Christmas
Haloo weeh!! Haloo tenaa!! Yes kama kawaida yetu bwana ikiwa tunamlizia zile shamrashamra na hekaheka za sikuu ya Christmas bwana tukijiandaa kuupokea mwaka mpya wa 2023 mambo...
23
Leo Sikukuu, Saudia
Ooooooooh! Nyie nyie kombe la dunia mwaka huu limeleta balaa, hakika kuna timu zimejipanga safari hii sio pouwa, basi bwana. Mfalme Salman wa Saudi Arabia ametangaza leo Jumat...
30
Je wajua kuna Rihanna day huko, Caribbean
Na Habiba Mohamed  Niaje niajeeeeeeeee watu  wangu wa nguvu, kama ilivyokawaida nyota njema huonekana asubuhi, basi bwana msanii na mfanyabiashara maarufu Roby Rihan...

Latest Post