Wengi wanadhani kuwa watumiaji wa iPhone ni watu wenye fedha na elimu. Licha ya dhana hizo utafiti uliofanyika China ulibaini kuwa mawazo hayo ni tofauti na uhalisia.Utafiti h...
Kwa mujibu wa utafiti uliyochapishwa na tovuti ya Forbes umebaini kuwa kizazi cha Gen Z kinakunywa pombe kidogo zaidi kuliko vizazi vilivyotangulia.Utafiti huo unaeleza kuwa u...
Kwa mujibu wa utafiti kutoka kwa ‘Plos One’ umebaini kuwa njaa inaweza kumfanya binadamu kuchukua maamuzi magumu.
Utafiti huo pia ulionesha kwamba njaa haich...
Kwa mujibu wa utafiti uliyofanywa na Chuo Kikuu cha Cambridge umebaini kuwa ugomvi wa watoto waliofuatana unaweza kuwanufaisha hapo baadaye.Utafiti huo uligundua kwamba mabish...
Inaripotiwa kuwa ngozi ya kuku inakiwango kikubwa cha mafuta ambayo ni hatari kwa afya ya binaadamu.
Kwa mujibu wa tovuti mbalimbali duniani zinaeleza kuwa ngozi ya kuku ina m...
Kwa mujibu wa utafiti uliyofanywa na ‘The British Journal of Sports’ umegundua kuwa kukaa chini zaidi ya saa 12 kunaongeza hatari ya kifo cha mapema kwa asilimia 3...
Kwa mujibu wa utafiti uliyofanywa na Jonathan Caulkins kutoka Chuo Kikuu cha Carnegie Mellon, umebaini kuwa matuminzi ya bangi yameongezeka nchini Marekani yakipiku matuminzi ...
Klabu ya Simba ndiyo yenye wafuasi wengi kwenye mitandao ya kijamii kwa upande wa Afrika Mashariki.
Timu hiyo inakaribia wafuasi milioni 11, kupitia kurasa zake za mitandao ya...
KwDk Lewis Elliott a mujibu wa utafiti uliyofanywa na Dk Lewis Elliott kutoka Chuo Kikuu cha Exeter nchini Uingereza umebaini kuwa watu wanaoishi karibu na mazingira ya ufukwe...
Inadaiwa kuwa tabia ya kuoga kila siku haina faida yoyote kwa afya ya binadamu, bali watu hufanya hivyo, wakihofia kutengwa na jamii, kwa sababu ya kunuka.
Kwa mujibu wa tafit...
Kwa mujibu wa watafiti katika maabara ya Human-Animal Interaction (HAI) ya Chuo Kikuu cha Oregon State cha nchini Marekani webaini kuwa paka wanafurahia maisha zaidi wakiishi ...
Kwa mujibu wa utafiti mpya uliofanywa kutoka Chuo Kikuu cha Texas huko Austin unaeleza kuwa watu wapweke na wenye mfadhaiko (depression) wanaongoza kutazama televisheni kupita...
Kwa mujibu wa utafiti uliyofanywa na Chuo Kikuu cha Kansas unaeleza kuwa wanandoa ambao hawajihusishi sana na mitandao ya kijamii huwa na furaha zaidi kuliko wanaojihusisha na...