15
Kampuni ya Apple yashitakiwa kwa kusababisha mume na mke kuachana
Mfanyabiashara wa Uingereza aliyefahamika kwa jina la Richard ameripotiwa kuishitaki kampuni ya simu za Iphone, hii ni baada ya kampuni hiyo kurudisha ‘meseji’ zil...
14
Tapsoba amfunika Aziz Ki tuzo za Gold Stallion
Kiungo mshambuliaji wa ‘klabu’ ya Yanga, Stephane Aziz KI amekosa tuzo ya mchezaji bora wa mwaka Burkina Faso akizidiwa kete na Edmund Tapsoba.Tuzo hiyo imetolewa ...
14
Kundi la Daz Nundaz kukiwasha Bongoflava Honors julai 22
Ikiwa ni mwendelezo wa tamasha la muziki la ‘BongoFlava Honors’, linalosimamiwa na mwanamuziki mkongwe Joseph Mbilinyi 'Sugu', awamu hii ni zamu wa wanamuziki wa z...
14
Ronaldo kupunguziwa majukumu Euro 2024
Mchezaji wa zamani wa Manchester United, Wes Brown amesema staa wa Al Nassr na Ureno ajiandae kwa majukumu tofauti na yale aliyozoea katika kikosi cha ‘timu’ ya ta...
14
Taylor atangaza tarehe ya kutamatisha ziara yake
Ikiwa tayari zimefanyika show 100, katika ziara ya dunia ya mwanamuziki wa Marekani Taylor Swift, ‘Eras Tour’, hatimaye msanii huyo ameweka wazi tarehe ya kutamati...
14
Mbwa wa kwenye filamu ya The walking dead afariki dunia
Mbwa wa mwigizaji Daryl Dixon's aitwaye ‘Seven’ aliyeonekana katika filamu ya zombie ya ‘The Walking Dead’ amefariki dunia siku ya jana Alhamisi Mei 13...
14
Billie Eilish: Sijawahi kuumizwa kwenye mapenzi
Mwanamuziki wa Marekani Billie Eilish ameweka wazi kuwa hajawahi kuachwa wala kuumizwa kwenye mapenzi, badala yeye ndiye huwa wa kwanza kutaka kuachana.Eilish ameyasema hayo w...
14
Drake kufikishwa mahakamani
PosKampuni ya Wanamitindo ya ‘Members Only’, imefungua kesi dhidi ya kampuni ya Drake, ‘Away From Home Touring Inc’, katika mahakama ya shirikisho ya N...
13
Sanaa, Burudani zaongoza kwa ukuaji 2023
Mwaka 2023, sekta ya sanaa na burudani iliongoza kwa kuwa na ukuaji wa asilimia 17.7. Hayo yamo katika taarifa ya hali ya uchumi wa Taifa kwa mwaka 2023 iliyowasilishwa bungen...
13
Serikali kukuza ajira kwa vijana, Sekta ya sanaa na burudani
Serikali imeweka wazi kuwa inampango wa kukuza ajira kwa vijana katika sekta ya michezo, sanaa na burudani. Hayo yamesemwa leo Alhamisi Juni 13, 2024 na Waziri wa Fedha, Dk Mw...
13
Mashabiki Euro wazuiwa kuingia na vitu hivi viwanjani
Kuelekea michuano ya Euro inayotarajiwa kuanza kupigwa kesho nchini Ujerunani mashabiki wamepigwa marufuku ya kuingia na baadhi ya vitu viwanjani, kama vinywaji, vyakula, matu...
13
‘VAR’ kutumika ligi kuu bara msimu ujao
Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba amesema kuanzia msimu ujao wa Ligi Kuu Bara, viwanja vitakavyotumika kwa michuano hiyo vitafungwa teknolojia inayomsaidia mwamuzi kufanya m...
13
Ufahamu mti unaotiririsha maji
Waswahili husema kuishi kwingi, kuona mengi, pasi na shaka kauli hii inaendana na maajabu ya mti unaotiririsha maji. Wengi wamezoea kuona miti ikipandwa, ikikua, ikikauka na m...
13
Kocha wa Bayern aitamani saini ya Gomez
Kocha wa klabu ya #BayernMunich, #VincentKompany anaisaka saini ya beki wa klabu ya #Liverpool, #JoeGomez ili awe mmoja wa wachezaji wake wa kwanza kusajiliwa katika kikosi ch...

Latest Post