Ukisikia cha kale dhahabu ndiyo hiki, kwa sasa kwenye sherehe kama vile harusi, 'Send Off' na 'Kitchen Party' siyo ajabu kusikia ngoma za zamani zikipigwa na wageni waalikwa w...
Kawaida ubunifu ndiyo kitu kinachotofautisha mtu mmoja na mwingine katika kazi ya sanaa hasa katika muziki ambapo kila msanii anatamani kuwa bora kuliko mwenzake.
Wapo ambao w...
‘Klabu’ ya AS FAR Rabat ya Morocco imefikia makubaliano ya kumteua mkufunzi, Hussein Amouta kuwa ‘kocha’ mkuu klabuni hapo kwa ajili ya kuchukua mikoba...
Mfanyabiashara na mkali wa Hip-hop Marekani Diddy Combs ameripotiwa kuuza jumba lake la kifahari lililopo jijini Los Angles kwa dola milioni 70 ikiwa ni sawa na Sh 185.8 bilio...
Baada ya mwigizaji mkongwe na aliyewahi kuwa Miss Tanzania mwaka 2006, Wema Sepetu kufika nchini Korea kwa ajili ya ziara ya mafunzo kuhusiana na mswala mazima ya tasnia ya ui...
Waandaji wa Tuzo za muziki za MVAA ambao wanajihusisha na utoaji wa tuzo katika vipengele mbalimbali kwa wasanii na vijana wachakarikaji Afrika wamemtaja kaka wa msanii wa Bon...
Na Aisha Charles
Hivi karibuni kumezuka mtindo wa wasanii kuonesha jumbe wanazowasiliana na wanamuziki kutoka mataifa mbalimbali hasa Marekani, wakiwa wanawaomba kufanya nao k...
Ikiwa imepita siku moja tangu mwanamuziki wa zamani wa Bongo Fleva ambaye kwa sasa anaishi jijini Paris, Ufaransa Rehema Chalamila ‘Ray C’ kuwataka wasanii wenye u...
Wasanii wa filamu Tanzania wamewasili Korea kwenye ziara yao ya kujifunza mambo ya filamu.
Baadhi ya mastaa wa filamu ambao wapo kwenye ziara hiyo ni Irene Paul, Wema Sepetu, ...
Kufuatia mvutano wa kugombania msemo unaofanania na "Kuchekacheka tu kuoga aaah" kati ya wachekeshaji Shafii Brand na Steve Moses 'Stive Mweusi', Ofisa Usajili kutoka Wakala w...
Mwanamuziki wa Marekani #ChrisBrown, ameripotiwa kurudisha pesa ya shabiki ambaye aliitoa kama malipo ili akutane na msanii huyo na kupiga naye picha.
Shabiki huyo wa kike mwe...
Kocha wa Mamelodi Sundowns F.C., Rulani Mokwena achukizwa kuingiliwa kwenye majukumu yake baada ya mkurugenzi wa klabu hiyo #FlemmingBerg kuwaondoa wachezaji wanne ambao bado ...
Baba mzazi wa mwanamuziki wa Nigeria Burna Boy, Samuel Ogulu ameweka wazi jinsi anavyovutiwa na mafanikio ya kijana wake, hii ni baada ya mwanaye kuupiga mwingi katika onesho ...