Msanii wa nyimbo za Injili, Bony Mwaitege amesikitishwa na watu ambao wamemzushia kifo katika mtandao wa kijamii.Mwaitege amezungumza na Mwananchi akisema yeye ni mzima wa afy...
Kutokana na taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa mwanamuziki wa nyimbo za Injili nchini, Bony Mwaitege amefariki dunia, Seme Shitindi ambaye ni mtu wa ...
Ikiwa zimebaki siku chache kuanza kwa michuano ya Olimpiki nchini Ufaransa, uamuzi wa nchi hiyo kuzuia wanawake kuvaa hijabu katika michuano umezua mijadala na upinzani kutoka...
Kiungo wa Klabu ya Barcelona na Timu ya Taifa ya Hispania, Lamine Yamal ambaye hivi karibuni ametikisa vichwa vya habari baada ya kuwa Mchezaji Bora Chipukizi wa Michuano ya E...
Kila kazi huna na changamoto zake, bila kujali ukubwa au udogo wake. Katika tasnia ya uigizaji wasanii hutumia mbinu mbalimbali ili kuzipa ubora kazi zao, lakini mbinu hizo wa...
Taarab katika ubora wake haikuhitaji promo na kelele nyingi kwenye vyombo vya habari. Taarab ilijiuza kwa sababu ina njia zake ambazo ni za kipekee sana. Ni muziki wenye dunia...
Mwigizaji wa Nigeria, Chinedu Ikedieze 'Aki', aliyejipatia umaarufu kupitia filamu ya 'Aki na Ukwa' amethibitisha kuachana na mkewe wa kwanza aliyemuoa mwaka 2011.Aki na aliye...
Msanii wa zamani wa Kaole na mwigizaji wa filamu nchini, Dorah Mwakatete maarufu kama Kadadaa, amefikishwa katika Mahakama ya Mwanzo ya Kariakoo, Dar es Salaam na kusomewa sht...
Wengi walianza kumtambua Idd Mohamed maarufu kwa jina la Mocco Genius kama mzalishaji muziki, lakini baadaye akaingia kwenye soko la uimbaji.Mocco Genius aliyeanza kazi ya uza...
Mwanamitindo Flaviana Matata ambaye pia aliwahi kuiwakilisha Tanzania katika Mashindano ya Miss Universe 2007 ambapo alifika Kumi Bora. Ameonesha kusikitishwa na matukio ya ku...
Cha kale dhahabu. Muziki wa Bongo Fleva umepita kwenye mikono ya wakali mbalimbali walioacha alama kwa tungo zao zinazofanya waendelee kukumbukwa na mashabiki wa muziki hapa n...
Na Glorian Sulle,Dar es Salaam. Kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia sekta ya burudani inaendelea kuzalisha ajira kila kukicha huku ikirahisisha baadhi ya mambo kufa...
Binti wa mtawala wa Dubai, Sheikha Mahra Bint Mohammed Bin Rashid Al Maktoum, amempa talaka mumewe Sheikh Mana bin Mohammed bin Rashid bin Mana Al Maktoum kupitia mtandao wa I...
Miongoni mwa wasanii wa kizazi kipya, walioanza kuonekana, kujulikana kupitia mashindano ya kusaka vipaji, Bongo Star Search (BSS), ni Kayumba Juma 'Kayumba' ambaye mtaani ana...