Na Glorian SulleMsanii wa muziki wa kizazi kipya anayetamba na kibao chake kipya kinachokwenda kwa jina la “We Huogopi”, Sarah Michael Kitinga ‘Phina’ ...
Na Glorian sulleBaada ya Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar Es Salaam, kuamuru Anselm Tryphone Ngaiza (Soggy Doggy) na Florence Kasela (Dataz) kulipwa pesa zaidi ya Sh...
Mwanamuziki wa Hip-Hop hapa nchini, Webiro Wassira 'Wakazi' amedai kuwa ubora wa wasanii duniani kote hutambuliwa kwa vigezo vinavyofanana huku akigoma msanii Zuchu kupewa taj...
Waziri wa Sanaa, Utamaduni na Michezo, Damas Ndumbaro anatarajia kuwa mgeni rasmi kwenye Tamasha la Gland Gala Dance litakalofanyika Superdome Masaki jijini Dar es Salaam.Hayo...
Kabati alilokuwa akihifadhia nguo marehemu Kobe Bryant, lililokuwa kwenye Uwanja wa Michezo wa Staples Center, uliopo Los Angeles, Marekani linapigwa mnada.Kabati hilo ambalo ...
Wakitajwa watu ambao wamehusika kwa kiasi kikubwa kuupeleka kimataifa muziki wa Nigeria ni ngumu kuacha kumtaja Dj maarufu nchini humo Oluseye Desmond Sodamola au DJ Spinnal.S...
Na Mintanga Hunda Kutokana na baadhi ya wasanii kutolipa madeni ya mikopo waliyopewa na Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Naibu Waziri wa Wizara hiyo Hamisi Mwinjuma...
Kwenye ulimwengu huu wa teknolojia zipo aina nyingi za simu, kutokana na uwepo wa kampuni nyingi za kutengenea bidhaa hizo. Lakini ukiwa kama mtumiaji na mteja wa vifaa hivyo ...
Glorian sulle
Uchaguzi wa vazi la kwendea harusini kama mwalikwa unahitaji uangalifu mkubwa sana, ni muhimu kuvaa vazi ambalo litakufanya ujisikie vizuri mwenye kujiamini na h...
Na Glorian sulle
Sidhani kama kuna mtu atakuwa hafahamu maana halisi ya kazi/ajira. Kwa tafsiri rahisi hii ni shughuli ambayo mtu hufanya kwa kubadilishana na malipo ya kifedh...
Mdogo mdogo ndiyo mwendo ni msemo wa waswahili ambao ni mahususi kwa ajili ya kuwatia moyo wenye nia ya kuanza jambo fulani. Hivyo basi leo tumekusoge biashara ambayo baadhi y...
Duniani kuna tuzo nyingi kwenye sekta ya muziki ambazo hutolewa kama ishara ya heshima na mafanikio katika tasnia hiyo. Kati ya vitu ambavyo wasanii huvihesabu kama sehemu ya ...
Msanii wa nyimbo za Injili, Bony Mwaitege amesikitishwa na watu ambao wamemzushia kifo katika mtandao wa kijamii.Mwaitege amezungumza na Mwananchi akisema yeye ni mzima wa afy...