RHOBI CHACHANi nani atakayeibuka mshindi wa tuzo za Hollywood and African Prestigious Awards (HAPAWARDS)? Ni swali linalosubiriwa kujibiwa kwenye usiku wa kinyang'anyiro cha t...
Kila ifikapo tarehe ya leo Agosti 1, ulimwengu unaadhimisha siku ya ‘Girlfriends Day’ siku ambayo wasichana wanaopendana wanaitumia kukaa pamoja, kucheka na kushir...
Baada ya kukosolewa kwa muda mrefu kuwa video za nyimbo zake zilizotazamwa zaidi YouTube ni zile alizoshirikiana na wasanii wengine wa kimataifa, hatimaye Diamond Platnumz ame...
Mwanamuiziki Asagwile Mwasongwe ambaye anatamba na wimbo wa ‘Ndoa’ unaofanya vizuri kupitia platform mbalimbali nchini, amewajia juu baadhi ya mashabiki ambao wame...
Mwanamuziki wa singeli Dulla Makabila amewaomba radhi mashabiki wa Simba huku akiomba waridhie aweze kutumbuiza katika tamasha la ‘Simba Day’ linalitarajia kufanyi...
‘Rapa’ Drake ameonesha furaha yake baada ya mkali wa Dancehall kutoka Jamaica, Adidja Palmer ‘Vybz Kartel’ kuachiwa huru kutoka jela baada ya kusota kw...
Moja ya stori inayoendelea kusambaa kupitia mitandao ya kijamii ni kuhusiana na aliyekuwa mpenzi wa ‘rapa’ Rick Ross aitwaye Tia Kemp kutaka kiasi kikubwa cha pesa...
Mkongwe wa Hip-hop nchini Jaymoe amewataka mashabiki na wapenzi wa muziki kumpa maua yake kabla hajafa kutokana na mengi aliyoyafanya na wasanii wenzie katika tasnia hiyo.Kati...
Baada ya kuwepo na minong’ono kupitia mitandao ya kijamii kwa baadhi ya mashabiki wakihoji kwanini Diamond aliamua kuvaa vazi la Kimasai katika video yake na kwanini asi...
Mtaalamu wa mazoezi ya viungo kutoka Marekani Simone Biles amewatolea povu baadhi ya mashabiki waliokuwa wakikosoa mtindo wa nywele zake kwenye mashindano ya Olimpiki 2024.Kup...
Mkali wa R&B kutoka Marekani Usher Raymond ametangaza kuachia filamu ya matamasha yake nane aliyoyafanya jijini Paris,Ufaransa mwaka jana.Usher ameyasema hayo katika taari...