Ikiwa ni siku moja imepita tangu mwanamuziki wa hip-hop Marekani Sean 'Diddy' Combs kutiwa nguvuni, ripoti mpya ya kilichokutwa kwenye nyumba zake yatolewa.Kwa mujibu wa waend...
Mwanamuziki wa Marekani, Sean "Diddy" Combs, anayekabiliwa na mashtaka ya uhalifu wa kingono, anaendelea kuzuiwa kutoka mahabusi hadi kesi yake itakaposikilizwa tena.Hakimu wa...
‘Rapa’ Cardi B amemkingia kifua msanii Tyla, aliyekabiliwa na ukosoaji katika mitandao ya kijamii baada ya tukio alilolifanya katika usiku wa Tuzo za Muziki za MTV...
‘Rapa’ 50 Cent anadai kuwa msanii Kendrick Lamar, amestahili kuchaguliwa kuongoza show ya Super Bowl Halftime inayotarajiwa kufanyika Februari mwaka 2025 jijini Ne...
Baada ya mwanamuziki Marioo kutua nchini Kenya na kupokelewa kwa shangwe, ameingia studio na msanii Bien.Kupitia ukurasa wa Instagram wa Marioo amechapisha picha akiwa na msan...
Mkali wa Hip Hop kutoka Marekani Diddy ameripotiwa kukamatwa na polisi New York kufuatia tuhuma za kujihusisha na unyanyasaji wa ngono na biashara za madawa ya kulevya.Kwa muj...
Mwanamuziki wa Afrika Kusini, Khulekani Nxumalo 'Pcee' anayetamba na ngoma ya 'Kilimanjaro', amesema wakati anatoa wimbo huo hakuwa anamaanisha mlima uliopo Tanzania badala ya...
Mtazamo. Wimbo wa Afande Sele, na wale 'Bigi Mani' wenzake kwenye 'gemu'. Solo Thang Ulamaa na Prof. Jay The Heavy Weight Mc. Kilinuka sana humo ndani chini Producer Majani. N...
Kaka wa marehemu mfalme wa Pop Michael Jackson, aitwaye Tito Jackson, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 70.Tito pia alikuwa mwanamuziki katika kundi la familia la The Jac...
Ni muda sasa kumekuwa na mijadala kwanini muziki wa Afrobeats unazidi kupenya na kupata hadhi kubwa duniani ukilinganisha na aina nyingine za muziki kutokea barani Afrika ikiw...
‘Rapa’ Nicki Minaj ameshiriki maneno ya kutia moyo kwa mwanamuziki Lil Wayne baada ya msanii huyo kutochaguliwa kwenye onesho la ‘Super Bowl Halftime’ ...
Je unatamani kuficha baadhi ya chats zako wengine wasizione? Kama ulikuwa unatumia njia ya kufungua WhatsApp yako na kuingia kwa Face ID au Passcode, sasa unaweza kuachana na ...