Nyota wa Paris Saint-Germain (PSG) Achraf Hakimi (25) na aliyekuwa mkewe mwigizaji Hiba Abouk (37), wameripotiwa kuonekana pamoja kwa mara ya kwanza baada ya kupeana talaka mw...
Katika Tuzo za MTV VMAs 2024 zilizotolewa jana Septemba 12 wanamuziki Taylor Swift na Post Malone waliibuka kidedea kwa kuondoka na tuzo nyingi zaidi huku‘kolabo’ ...
Tarehe kama ya leo mashabiki wa aliyekuwa mwanamuziki nchini Nigeria Ilerioluwa Aloba, 'MohBad', waligubikwa na huzuni baada ya kupokea taarifa ya kifo cha msanii huyu kilicho...
Staa wa Bongo Fleva, Jay Melody ni miongoni mwa wasanii waliofanya vizuri zaidi katikati kipindi cha miaka miwili iliyopita, hiyo ni baada ya ujio wake mpya wa tangu Januari 2...
Mwanamuziki wa Afrika Kusini Tyla amewapiga chini kwa mara nyingine wasanii wenzake katika Tuzo za MTV VMAs 2024 kipengele cha Best Afrobeats zilizotolewa usiku wa kuamkia leo...
Mwanamuziki wa Bongo Fleva Marioo amefunguka ishu ya kufunga ndoa na mzazi mwenzie Paula Kajala, kwa kuweka wazi kuwafanya hivyo hivi karibuni kwani Paula amekubali kubadili d...
Sio ajabu kuona Ma-DJ nchini nao wanakuwa maarufu kama ilivyo kwa wasanii wa Bongofleva.Wamekuwa wakiandaa shoo zao wenyewe, kushinda tuzo za kimataifa, kuwa na idadi kubwa wa...
Msanii wa Bongo Movie, Kajala Masanja amesema anafanya mazoezi kila siku kwa sababu anatamani kuwa kama mcheza Tenisi maarufu duniani, Serena Williams.Serena ambaye ni ndugu n...
Dickson Marangach Aliyekuwa mpenzi wa mwanariadha wa Olimpiki wa Uganda, Rebecca Cheptegei amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.Marangach alifariki dunia akiwa katika Chumba c...
Mwonekano mpya wa mwigizaji na nyota wa WWE, Dave Bautista umewapa wasiwasi mashabiki, baada ya picha yake kusambaa mitandaoni ikumuonesha amepungua (amekuwa mwembamba) kuliko...
Mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini D Voice amedai kuwa yeye ndiyo msanii mdogo kutoka Afrika Mashariki anayerekodi video za mkwanja mrefu, huku akiwataka wanaobisha kuonesha mi...