Mwigizaji wa Marekani, James Earl Jones ambaye alipata umaarufu kupitia filamu kama ‘Coming to America’ amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 93.Taarifa ya kifo c...
Msanii wa vichekesho nchini Jackson Supakila 'Mkali Wenu' amesema katika vitu ambavyo watu hawavijui kuhusu yeye ni kutopenda kuwa kwenye mahusiano na wanawake wengi.Akizungum...
Mwanamuziki Selena Gomez amefunguka kuwa yupo kwenye mpango wa kuanzisha familia na mpenzi wake Benny Blanco miaka michache ijayo, lakini hatoweza kubeba ujauzito kama wanawak...
Miss Tanzania 2022, Halima Kopwe ambaye aliiwakilisha nchi katika mashindano ya urembo duniani amekanusha tetesi zinazodai kuwa waandaaji wa shindano la urembo Miss Tanzania h...
Mtengeneza maudhui wa Marekani Nicholas Perry, ‘Nikocado Avocado’, ambaye amejizolea umaarufu kutokana na maudhui yake yanayohusu chakula kwenye mtandao wa YouTube...
Kati ya mastaa Bongo walioteka mazungumzo mtandaoni wiki hii, ni Jux, 34, mara baada ya kumtembelea nyumbani kwao Nigeria mpenzi wake mpya, Priscilla Ojo, 23, ambaye ni muigiz...
Mwigizaji Irene Uwoya amesema licha ya kuingia kwenye maisha ya wokovu hawezi kufuta tatoo zilizopo mwilini mwake hadi Roho Mtakatifu atapomwambia.Uwoya ameyasema hayo leo Sep...
Mastaa mbalimbali nchini waliofika kwenye tamasha la Faraja ya Tasnia linalolenga kuwaenzi wasanii waliofariki dunia, wameonesha kuvutiwa na tamasha hilo ambalo limeanzishwa n...
Mwanamuziki wa Dansi nchini Charles Gabriel Mbwana 'Chaz Baba' amefunguka kuwa jina analotumia sasa ambalo watu wanalitambua alipewa na aliyewahi kuwa mwanamuziki nyota wa dan...
Mama wa marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa amesema tangu mwanaye afariki dunia hajawahi kuangalia filamu yake hata moja kwasababu zinamuumiza licha ya kuwa anazikubali kazi...
Mixtape ya marehemu mkali wa Hip Hop kutoka Marekani Rich Homie Quan iitwayo ‘I Promise I Will Never Stop Going In’ imeripotiwa kushika namba moja kwenye mtandao w...
Mwanamuziki na mfanyabiashara Selena Gomez ametajwa kuingia katika orodha ya mabilionea ambapo utajiri wao unatokana na juhudi za kibiashara.Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa ...
Mwanamuziki wa Marekani 50 Cent amefunguka kuhusiana na suala lake la useja (kuwa single) huku akiweka wazi kuwa amefanya makosa mengi sana lakini hajafikiria kufanya kosa la ...
Mwanamuziki wa Bongofleva, Gift Stanford ‘Gig Money’, ambaye hivi karibuni alikutana na majanga ya kudukulia akaunti yake ya YouTube akizungumza na Mwananchi Scoop...