Mtayarishaji Wa Katuni Ya Thomas & Friends, Afariki Dunia

Mtayarishaji Wa Katuni Ya Thomas & Friends, Afariki Dunia

Britt Allcroft, mtayarishaji wa katuni ya Thomas & Friends, kutoka Uingereza amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 81.

Taarifa ya kifo chake ilithibitishwa na mtayarishaji mwenzake Brannon Carty kupitia mtandao wa X (zamani Twitter) huku sababu ya kifo chake haikuweka wazi.

“Ni kwa huzuni kubwa kwamba ninashiriki nanyi taarifa za kifo cha Britt Allcroft, Familia kwa sasa iko katika maombolezo na inaomba heshima ya faragha yao kwa wakati huu,” ameandika Carty

Filamu hiyo ya watoto ilianza kuonyeshwa kwa mara ya kwanza mwaka 1984 ikiwa ni pamoja na mfululizo wa hivi karibuni, kama Diesel: Impossible (2020), The Looney Diesels (2020), na Thomas & Friends ERTL Adventures: The Biggest Christmas Adventure (2024).






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags