Hili Ndio Gauni Lililozua Mjadala Mitandaoni

Hili Ndio Gauni Lililozua Mjadala Mitandaoni

Moja ya nguo ambayo ilizua mjadala nchini Marekni ni gauni hiyo unayoiona kwenye video ambapo watu mbalimbali walikuwa wakibishana kuhusiana na rangi halisi ya gauni hilo.

Hata hivyo kwa mujibu wa vyombo vya habari baadhi vilidai kuwa majadiliano hayo yalikuwa ni kwa ajili ya tafiti za kisayansi kuhusiana na mtazamo wa macho ambapo baada ya mabishano makubwa ndipo ikawekwa wazi rangi halisi ikiwa ni nyeupe na dhahabu.

Kutokana na majadala wa gauni hilo kua mkubwa zaidi muuzaji wa gauni hilo, Roman Originals, aliripoti ongezeko la mauzo huku akiongeza toleo moja la gauni hilo la nyeupe na dhahabu ambalo lilinunuliwa kwa wingi.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags