‘Rapa’ kutoka Marekani Meek Mill ameweka wazi kuwa hapo mwanzo alikuwa hajui kabisa kufunga Kamba za viatu lakini alifundishwa na ‘rapa’ tajiri zaidi n...
Kijana mmoja aitwaye Heman Bekele (15) kutoka Fairfax, Virginia ameripotiwa kuvumbua sabuni inayoweza kuzuia na kutibu saratani ya ngozi.Kwa mujibu wa vyombo vya habari nchini...
Mrembo na mfanyabiashara Poshqueen amefunguka kuhusu kuvunjika kwa ndoa yake aliyowahi kufunga mwaka 2020 na John ambaye ni raia wa Nigeria huku chanzo kikubwa kikitanjwa kuwa...
Waswahili wanasema ‘Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya firauni’ msemo huu unatupeleka moja kwa moja kwa mwanamama Hetty Green, mwanamke ambaye ameishi akivaa nguo ya...
Mamlaka ya jiji la Eldoren nchini Kenya imeondoa sanamu la wanariadha Eliudi Kipchonge na Faith Kipyegon waliyoiwakilisha nchi hiyo katika mashindano ya Olimpics 2024 jijini P...
Baada ya mashabiki kukerwa na Usher kuhusiana na tamko lake la kuhairisha show kwa lengo la kupumzika, hatimaye msanii huyo amefunguka sababu kuu iliyomfanya ahairishe show hi...
Dk Anold Kegel ni mwanasayansi wa tiba bingwa wa magonjwa ya wanawake wa Marekani na mgunduzi wa mazoezi yajulikanayo Kegel, yenye kuboresha tendo la ndoa kwa wanawake.Uzoefu ...
Nyota wa zamani wa Yanga Princess ambaye kwa sasa anakipiga UTAH ya Marekani, Kaeda Wilson maarufu Mzungu, amesema ataendelea kuishangilia na kuishabiki timu hiyo hata kama yu...
Mfanyabiashara kutoka Marekani Kim Kardashian amefunguka kuwa kwa sasa hana mpango wa kuingia kwenye mahusiano kwani anaenjoy kuwa single.Kim ameyasema hayo wakati alipokuwa k...
Chidimma Adetshina (23) ambaye aliamua kujiondoa kwenye mashindano ya Miss South Africa kutokana na kubaguliwa kwenye shindano, kwa madai ya kuwa ni raia wa Nigeria, na sasa m...
Mwanamuziki wa Marekani Usher Raymond ametaja sababu ya kuhairisha ziara yake ya kidunia ya ‘Past, Present, Future’ aliyotakiwa kuifanyika jana Jumatatu jijini Atl...
Bondia wa zamani wa ngumi za kulipwa, Amos Mwamakula na aliyekuwa kocha wa mabondia wa kike nchini Comoro, Halina Abdallah Ally wamepewa fursa ya kujifunza namna ya kuwahudumi...
Afisa mkuu wa polisi Uganda, Jackson Mucunguzi, ameweka wazi kuwa Shakib Lutaaya anaweza kumfungulia kesi ya unyanyasaji wa kisaikolojia mke wake Zarinah Hassan ‘Zari&rs...
‘Rapa’ kutoka Marekani Kendrick Lamar ameripotiwa kuvunja rekodi ya marehemu msanii Tupac baada ya wimbo wake wa ‘Not Like Us’ kupata streams zaidi ya ...