Niwasalimu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano Tanzania, basi wote tusema kazi iendelee, kama kawaida ili mkono uende kinywani lazima kazi na juhudi ifanyike, katika juhudi hizo ...
Na Pelagia DanielInaweza kuwa ni ajabu kwa jamii zetu za Kitanzania kutokana na tamaduni wanaume kuvaa vipini puani na hereni lakini katika ulimwengu wa mitindo na utandawazi ...
Ukiwa ni muendelezo wa kukabiliana na kiwango cha chini cha uzazi nchini Korea Kusini, Wilaya ya Saha, Busan inampango wa kuwalipa wakazi wa eneo hilo watakao kubali kuchumbia...
‘Rapa’ na mwigizaji Tobechukwu Ejiofor, maarufu kama Illbliss, amezua mjadala kwenye mitandao ya kijamii baada ya kudai kwamba Burna Boy, Davido, na Wizkid ni ma-r...
Mwanamuziki nyota wa muziki wa dansi, anayemiliki bendi ya Bogoss Musica, Nyoshi El Saadat amewashauri wasanii wa Bongo Fleva kujikita zaidi katika kuimba muziki wa mubashara ...
Mwimbaji wa muziki nchini Marekani Maria Carey (59) amethibitisha kufiwa na mama yake Patricia pamoja na dada yake mwishoni mwa wiki iliyopita.Katika taarifa yake aliyoitoa si...
Kampuni ya Meta inayojihusisha na mitandao ya kijamii pamoja na kampuni inayoongoza duniani kwa kutoa burudani ya muziki 'Universal Music Group (UMG)' zimeingia makubaliano ma...
Mkali wa hip-hop kutoka Marekani Diddy amekanusha tuhuma zote zilizotolewa na aliyekuwa producer wake Rodney “Lil Rod” Jones akidai kuwa producer huyo alizitoa kwa...
Mwigizaji Irene Uwoya amemvaa mama anayehoji kuhusu kuokoka kwake, kupitia video inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha mama huyo akidai kuwa Irene anatakiwa kufun...
Mwanamuziki wa Nigeria Burna Boy, amefungua shule ya kufundisha soka nchini humo ikiwa na lengo la kukuza vipaji vya vijana wacheza soka kwenye taifa hilo.Shule hiyo ya Burna ...
Moja ya kundi la muziki wa injili linalofanya vizuri nchini ni hili la Zabron Singers kupitia baadhi ya nyimbo zao kama vile Moyo, Uko Singel?, Naogopa, Mkono wa Bwana, na Swe...
Chukua huku weka pale, chukua kule lipa hapa. Cha msingi wakopwaji wasijuane. Yes! Konde anadaiwa na benki kiasi cha kupelekana kwa pilato. Zaidi ya milioni mia, ni sehemu ya ...
Baada ya sakata lake na Baraza la Sanaa Tanzania (Basata) kukamilika mwanamuziki Mario amewauliza swali mashabiki kama waurekebishe wimbo wa ‘Iphone Users’ au atoe...