Na Asma HamisTumezoea kuona mashine za kufulia, kuoshea vyombo na hata za kufanyia usafi majumbani lakini kuhusu mashine ya kuogeshea binadamu hili ni geni machoni mwa watu, t...
‘Rapa’ Sean “Diddy” Combs huenda akafunguliwa kesi ya jinai na mwanadada Adria English. Kwa mujibu wa timu ya wanasheria wa mwanadada huyo imedai kuwa ...
Msanii wa Bongofleva, Bongo Movies na mjasiriamali, Zuwema Mohammed 'Shilole', amesema atafunga ndoa na mpenzi wake wa sasa muda si mrefu ujao, ikiwa ni ndoa yake ya nne tangu...
Imeripotiwa kuwa ardhi ya mwanamuziki kutoka Marekani mwenye asili ya Senegal, Akon muda wowote kuanzia sasa inaweza kuchukuliwa na Serikali ya Senegal, endapo hatokamilisha m...
Baada ya kutamba katika remix ya ‘Komasava’ aliyomshirikisha msanii wa Marekani Jason Derulo na kupokelewa kwa ukubwa, sasa mwanamuziki Diamond ameripotiwa kufanya...
Klabu ya #ManchesterUnited inajiandaa kusaini nyaraka kwa ajili ya kumtangaza Dan Ashworth kama Mkurugenzi wa Michezo kutoka klabu ya Newcastle United baada ya vilabu hivyo ku...
Baada ya mzalishaji muziki nchini Trone, kuthibitisha ujio wa albamu ya mwanamuziki wa Bongo Fleva Zuchu, sasa msanii huyo amesema imekamilika kwa asilimia 100.Zuchu ametoa ta...
Mwanamuziki Celin Dion amezua gumzo mitandaoni baada ya trela ya filamu yake ikimuonesha akilia kwa uchungu wakati akielezea mapito yake kufuatia na ugonjwa unaomsumbua wa &ls...
Makampuni ya mawasiliano ya simu nchini Japan, DOCOMO, NTT Corporation, NEC Corporation, na Fujitsu yamezindua kifaa cha kwanza cha 6G dunaini ambacho hutoa kasi ya utumiaji d...
Imeripotiwa kuwa ‘klabu’ ya #ManchesterCity iko mbioni kumsajili mchezaji kutoka ‘timu’ ya #WolverhamptonWanderers Rayan Ait-Nouri, hii ni baada ya &ls...
Tetesi zinadai kuwa klabu ya #InterMilan huwenda ikamchukua mchezaji wa ‘klabu’ ya #ManchesterUnited, #AnthonyMartial baada ya mkataba wake kuisha ‘klabuni&r...
Bilionea maarufu kutoka nchini Australia, Clive Palmer (69) ameripotiwa kutaka kutengeneza meli mfumo sawa na Titanic iliyozama mnamo mwaka 1912 ikiwa na zaidi ya watu 2,200, ...
Binti wa mwanamuziki Kanye West, North West (10) ametangaza ujio wa album yake wakati alipokuwa jukwaani na baba yake usiku wa kuamkia leo katika ‘Vultures 2 listening p...
Kampuni maarufu inayojihusisha na utengenezaji wa bidhaa mbalimbali ya Adidas iko mbioni kuzindua toleo maalumu la viatu vya marehemu mkali wa reggae kutoka Jamaica Bob Marley...