Man City mbioni kumsajili Rayan Ait-Nouri

Man City mbioni kumsajili Rayan Ait-Nouri

Imeripotiwa kuwa ‘klabu’ ya #ManchesterCity iko mbioni kumsajili mchezaji kutoka ‘timu’ ya #WolverhamptonWanderers Rayan Ait-Nouri, hii ni baada ya ‘timu’ zote mbili kufanya mazungumzo siku chache zilizopita.

Ait-Nouri mwenye umri wa miaka 22, amekuwa kwenye kiwango kizuri msimu huu kama beki wa kushoto huku ‘klabu’ kubwa za Premier League zimekuwa zikihitaji huduma yake.

Hata hivyo huwenda Man City wakafanikiwa kumchukua mchezaji huyo kutoakana na ‘klabu’ hiyo kuwa na uhusiano mzuri na wakala wa Nouri, #JorgeMend.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags