Inter Milan mbioni kumnyakua Anthony

Inter Milan mbioni kumnyakua Anthony

Tetesi zinadai kuwa klabu ya #InterMilan huwenda ikamchukua mchezaji wa ‘klabu’ ya #ManchesterUnited, #AnthonyMartial baada ya mkataba wake kuisha ‘klabuni’ hapo.

Kwa mujibu wa Sky Sport News imeeleza kuwa raia huyo kutoka nchini Ufaransa mwenye umri wa miaka 28 ameendelea kuonesha ubora wake tangu aingie Man United mwaka 2020 akitokea ‘klabu’ ya #SevillaFC.

Hata hivyo taarifa zinasema uamuzi wa kumnunua Antony utafanywa baada ya Inter Milan itakaposhindwa kumpata mshambuliaji wa ‘klabu’ ya #Iceland, #AlbertGudmundsson.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags