08
Peter Okoye avunja ukimya, awataka mashabiki kuwa na subira
Baada ya mwanamuziki kutoka Nigeria, Paul Nonso Okoye ‘Rudeboy’ kuweka wazi kuwa kundi la P-Square limesambaratika kwa mara nyingine, kwa upande wa Peter Okoye, &l...
03
Sababu ya Patoranking kuwa kimya kimuziki
Mwanamuziki kutoka Nigeria Patrick Nnaemeka 'Patoranking' amefichua kuwa ukimya wake kwenye muziki ulitokana na yeye kuwa masomoni.Kupitia ukurasa wake wa Instagram Patorankin...
23
Cassie avunja ukimya, awashukuru mashabiki
Baada ya kusambaa kwa video ya mwanamuziki na dansa Cassie akishambuliwa na aliyekuwa mpenzi wake Diddy, hatimaye Cassie amevunja ukimya na kutoa neno la shukrani kwa mashabik...
30
Davido, Wizkid kama Diamond na Konde hapatoshi
Wanamuziki kutoka nchini Nigeria, Davido pamoja na Wizkid wapo katika bifu zito, baada ya shabiki wa Wizkid katika mtandao wa X (zamani Twitter) kumuomba msanii huyo atoe ngom...
20
Cardi B ataja sababu ya kuwa kimya
‘Rapa’ Cardi B ameweka wazi kuwa kwa zaidi ya mwaka mmoja amekuwa akiogopa kuishi maisha yake halisi aliyoyazoea kutokana na kukosolewa na mashabiki. Akiwa katika ...
24
Man Fongo afunguka sababu ya ukimya wake
Msanii wa #Singeli #ManFongo aeleza kilichofanya  akae kimya kwa muda mrefu huku akidai ni kufichwa na management yake mpya kwa ajili ya kujipanga kwa ujio mpya katika mu...
06
Hatimaye Tems avunja ukimya
Mwanamuziki Tems kutoka nchini Nigeria aliyedaiwa kuwa na ujauzito kutokana na video zake zikimuonesha akiwa na tumbo kubwa, hatimaye amerudi tena mjini kwa kuachia wimbo wake...
30
Wema: Sitofanya party tena, ningekaa kimya ningekufa
Muigizaji Wema Sepetu ameyatoa ya moyoni baada ya kile kilichotokea kwenye birthday party yake, na kueleza kuwa hatokuja kufanya tena sherehe maisha yake yote.Wema ameyasema h...
20
Baba levo: Zuchu ana roho mbaya, Ananiharibia upepo
Ni muda mchache tuu tangu msanii Zuchu kuachia ngoma yake mpya ya ‘Chapati’, msanii mwenzake Baba Levo hakulikalia kimya ametoa ya moyoni huku akimlaumu Zuchu kwa ...
14
Davido hana baya kwa Rema
Baada ya msanii kutoka Nigeria Rema kushinda Tuzo ya MTV katika kipengele cha wimbo bora wa Afro Beats kupitia wimbo wake na Selena Gomez, Davido hajakaa kimya na kuamua kuone...
24
Wasanii bongo waungana kupambana na Khaligraph
Baada ya msanii wa HipHop kutoka nchini Kenya kutamka maneno ya dharau dhidi ya muziki wa Tanzania huku akiwapa masaa 24 wasanii wa Bongo kuingia studio 'kurekodi' ngoma kali ...
22
Ibraah: Hakuna anayeweza kuziba pengo langu
Mwanamuziki wa #BongoFleva #Ibraah ameeleza kuwa, nafasi  yake katika uimbaji hakuna mtu ambaye anaweza kushindana naye hata kama akiwa kimya kwa muda mrefu bila kutoa wi...
21
Gigy : Nitambatiza mwanangu, Baba yake haeleweki
Mwanamuziki #Gigy Money akiwa kwenye mahojiano na moja ya chombo cha habari nchini anadai kuwa week ijayo amepanga kwenda kumbatiza mtoto wake kutokana na baba mtoto kumkalia ...
10
Mo Dewji: Tuepuke wapotoshaji
Baada ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kutoa taarifa kuhusiana na baadhi ya ‘timu’ kutowasilisha vibali vya wachezaji wa kigeni kutocheza mchezo wa N...

Latest Post