Cardi B ataja sababu ya kuwa kimya

Cardi B ataja sababu ya kuwa kimya


‘Rapa’ Cardi B ameweka wazi kuwa kwa zaidi ya mwaka mmoja amekuwa akiogopa kuishi maisha yake halisi aliyoyazoea kutokana na kukosolewa na mashabiki.

Akiwa katika mahojiano ya ‘Comolex 360’ amefunguka kuwa sababu kubwa iliyomfanya kukaa kimya bila kutoa ngoma yoyote ni kutokana na mashabiki kumshambulia vikali kupitia mitandao ya kijami, jambo ambalo lilikuwa likimvuruga.

Cardi ameuanza mwaka vizuri kwa kutoa ngoma yake iitwayo ‘Enough (Miami)’ wimbo ambao unazaidi ya watazamaji zaidi ya milioni 5 kupitia mtandao wa #YouTube ukiwa na siku tano tuu tangu kuachiwa kwake.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags