Hatimaye Tems avunja ukimya

Hatimaye Tems avunja ukimya

Mwanamuziki Tems kutoka nchini Nigeria aliyedaiwa kuwa na ujauzito kutokana na video zake zikimuonesha akiwa na tumbo kubwa, hatimaye amerudi tena mjini kwa kuachia wimbo wake mpya aliyoupa jina la Me & U ikiwa ni miaka miwili tangu aachie ngoma.

Mshindi huyo wa Grammy kupitia ukurasa wake wa Instagram ame-share kionjo cha wimbo wake huo mpya na kuandika kuwa “wimbo wangu wa kwanza toka miaka miwili ipite”.

Ikumbukwe Tems wimbo wa mwisho kuuachia kupitia mtandao wake wa YouTube ni official video ya ‘Crazy Tings’.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags