Baba levo: Zuchu ana roho mbaya, Ananiharibia upepo

Baba levo: Zuchu ana roho mbaya, Ananiharibia upepo

Ni muda mchache tuu tangu msanii Zuchu kuachia ngoma yake mpya ya ‘Chapati’, msanii mwenzake Baba Levo hakulikalia kimya ametoa ya moyoni huku akimlaumu Zuchu kwa kumpandikizia wimbo YouTube na kudai kuwa msanii huyo ana roho mbaya .

Baba Levo  ameeleza kuwa Zuchu amekuwa na tabia ya kumuharibia upepo wake, yaani akitoa wimbo nay eye anatoa,  huku akitaja baadhi ya ngoma ambazo Zuchu alizitoa baada yeye kuachia ngoma, akisema alitoa ‘Shusha’ akampandishia ‘Sukari’, ametoa ‘Amen’ kampandikizia ‘Chapati’.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags