Wasanii bongo waungana kupambana na Khaligraph

Wasanii bongo waungana kupambana na Khaligraph

Baada ya msanii wa HipHop kutoka nchini Kenya kutamka maneno ya dharau dhidi ya muziki wa Tanzania huku akiwapa masaa 24 wasanii wa Bongo kuingia studio 'kurekodi' ngoma kali ambayo siyo amapiano ili kuonesha uwezo wao.

Sasa baadhi ya wasanii wametoka hadharani wakimjia juu Khali kwa Kauli yake hiyo ya kudai muziki wa Tanzania hauna kitu, akiwemo Harmonize amekemea vikali kauli hiyo, wasanii wengine wakiwa wameanza kuonesha ukali wao kwa kuimba baadhi ya ngoma wakitaka msanii huyo wa Kenya atumiwe.

Mwanamuziki mwingine ni Stamina Kwa upande wake amemchagulia Khali msanii wa kushindana naye, mkali #LordeyesMweusi  naye hajakaa kimya juu ya jambo hili.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags