Davido hana baya kwa Rema

Davido hana baya kwa Rema

Baada ya msanii kutoka Nigeria Rema kushinda Tuzo ya MTV katika kipengele cha wimbo bora wa Afro Beats kupitia wimbo wake na Selena Gomez, Davido hajakaa kimya na kuamua kuonesha furaha juu ya mafanikio ya Rema.

Kupitia Instastory ya Davido ame-post picha ya Rema na kuandika “well deserved shine young king” akimaanisha “unastahili kung'aa mfalme mchipukizi”.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags