Mo Dewji: Tuepuke wapotoshaji

Mo Dewji: Tuepuke wapotoshaji

Baada ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kutoa taarifa kuhusiana na baadhi ya ‘timu’ kutowasilisha vibali vya wachezaji wa kigeni kutocheza mchezo wa Ngao ya Jamii.

CEO wa ‘klabu’ hiyo Mohammed Dewji amevunja ukimya kupitia mitandao yake ya kijamii amefunguka na kuandika

“Nimetoa almost 3 billion kufanikisha huu usajili, isitokee kwamba mtu aseme ‘Mo hajatoa hela’ tuepuke na wapotishaji.”






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags