Oooooh! Yeeeeah it’s another Friday leo bwana kwenye gumzo mitandaoni, muimbaji maarufu nchini British Zain Javadd Malik maarufu kama Zayn ameachana na mpenzi Gigi wake ...
Ee bwana mtu wangu wa nguvu huko mitandaoni kuanzia jana hadi leo moja ya story inayobamba ni kati ya wasanii wawili wa muziki wa kizazi kipya Zuwena maarufu kama Shilole na A...
Mazoezi ni moja kati ya vitu muhimu vya kufanya kwa mwanadumu kwani tunaelezwa leo licha ya faida hiyo lanipi pia udsaisia kuongeza nguvu za kiumme.
Mratibu wa Lishe Manispaa ...
Licha ya maneno kuwa mengi katika mitandao ya kijamii kuhusiana na shoo anazofanya nchini Marekani, msanii huyu wa kizazi kipya nchini ajulikanaye kwa jina la Rajabu Abdul maa...
TBTUNAIKUMBUKA MPENZI CHOCOLATE YA MZEE YUSSUPHNa Aisha LungatoNiaje wanangu wa mwananch scoop, leo kwenye Throuback Tuesday (TBT) tumekupeleka Pwani unajua ukanda wa Pwani we...
Mkasa huu ulinipata Mwaka 1999, nakumbuka nilikuwa katika kuhangaika kutafuta kibarua, nilijikuta nikiwa kwenye ofisi moja ya jamaa yake kaka.
Nilifika hapo baada ya kaka yang...
Mambo niaje? Karibu kwenye ukurasa wa Smartphone na leo bwana bila kupoteza wakati nakuletea njia ambazo zitakusaidia betri la simu yako kudumu.
Nikwambie tu kuwa Matoleo meng...
Name: Habiba Mohamed
University: Institute of social work
Position: Student
Course: Bachelor of labour relation and public management
Year of study: Third ye...
Moja ya story iliyoleta gumzo katika mitandao ya kijamii ni ya mchekeshaji Stan Bakora kuonekana kwenye video akiwa na sonara anayemtoboa kitovu chake ili kuweka kipini.
Star ...
AUNTY EZEKIEL AFUNGA NDOA NA KUSAH
Na Aisha Lungato
Huko mitandaoni leo mambo moto moto, unaambiwa msanii wa filamu Aunty Ezekiel amefunga ndoa na msanii wa muziki wa k...
Ohoo mambo ni moto mambo ni fire hivyo ndivyo tunavyoweza kusema kwamba Msanii kutoka nchini Marekani Meek Mill bwana amesema hajui ni fedha gani Labels zingaingiza.
Meek Mill...
Na Aisha Lungato
Niaje it’s another Tuesday natumai mko pouwaa wanangu wa mwananchiscoop.
Siku ya leo bwana tunakuletea makala za biashara na kuangazia zaidi wanafunzi w...
JIFUNZE MBINU ZA KUFANIKIWA KIMASOMO
Mambo vipi mwanafunzi, natumaini u mzima wa afya na unaendelea na majukumu yako ya kawaida ya hapa na pale.
Basi leo katika karia tumekuso...
Wajuzi wa mambo wanasema ukitaka kufanikiwa ama kupiga hatua kwenye maisha yako basi hakikisha unaambatana na mambo matatu muhimu ambayo ni nidhamu, ubunifu pamoja na kujituma...