Niaje wanangu wa Mwananchi scoop leo bwana katika gumzo mitandaoni mambo si mambo, staa wa muziki wa dance hall kutoka nchini Ghana, Charles Nii Armah maarufu kama S...
WOMAN CRUSH WEDNESDAY
Name: Theonestina Fabian University: St.Augustine University Of Tanzania SAUT Course: Bachelor of Law LLB Year of study: 3rd year Favorite sport: &...
MC Pilipili si jina geni masikioni mwa watu hasa wanafunzi wa vyuo. Ni wazi kuwa wengi wenu mmekuwa mkimfuatilia na kumsikiliza.
Kwa jina halisi aliyopewa na wazazi wake Mc Pi...
Kupitia Insta Story ya staa wa muziki ndani na nje ya Tanzania Nasubu Abdul maarufu kama Diamond Platnumz, anasema wasanii watanzania watoe nyimbo za maana ili wakienda kufany...
Hakika mambo yanakwenda kasi sana jamani huko mitandaoni na moja kati ya vitu vinavyozungumzwa na watu ni hili la Rapa kutokea nchini Marekani Kanye West kutangaza kubadili ji...
Kadri siku zinavyozidi kusonga mbele sanaa ndiyo kazi ambayo inawatoa watu wengi hususani vijana kulingana na juhudi ambazo wanazifanya.
Tambua kuwa unapozungumzia Sanaa alway...
Kijana mwenzangu nafahamu kuwa mara nyingi katika maisha yako uwa vipo vitu ambavyo ukivielewa na kuvifanyia kazi vizuri vinauwezo mkubwa wa kubadilisha maisha yako na k...
Msanii wa muziki kutokea nchini, Nigeria Wizkid unaambiwa amefunja rekodi nyingine huko na kuwafanya watu kuendelea kumpemda na kumfatilia.
Msanii huyo ameweka rekodi ya kuwa ...
Ee bwana moja kati ya story kubwa huku mitandaoni ni pamoja na Rapper kutokea nchini Marekani Jay Z na mkewe Beyonce kutangaza kuuza nyumba yao kwa Dola za Marekani 4,450,000 ...
Name: Mansuetus Canute Sahani
University: Institute of Finance Management
Position: Faculty Representative (Faculty of Computing, Information System & Mathematics
Co...
Mpira wa kikapu ni moja ya michezo maarufu inayochezwa sana barani Afrika, nikwambie tu kuwa ndiyo mchezo wa pili maarufu zaidi barani, ukiukaribia mpira wa miguu tu.
Mchezo h...
Na Aisha Lungato Hellow natumai ni wazima wa afya bwana leo kwenye urembo na fashion nimewaletea dawa ya lile tatizo sugu linalo waumiza vichwa mabinti wengi Sasa fahamu jinsi...