Kanye West abadili jina rasmi

Kanye West abadili jina rasmi

Hakika mambo yanakwenda kasi sana jamani huko mitandaoni na moja kati ya vitu vinavyozungumzwa na watu ni hili la Rapa kutokea nchini Marekani Kanye West kutangaza kubadili jina lake na sasa anatambulika rasmi kama ‘Ye’.

Kanye West aliwasilisha ombi la kubadili jina lake na kuitwa ‘Ye’ Agosti 24, mwaka huu na aliomba libadilike kisheria.

Ye ni jina ambalo Kanye amekuwa akilitumia kwa muda sasa na anaonekana kulipenda sana kwahiyo sasa sasa lihalali kabisa atatambulika kwa jina la Ye na sio Kanye West.

Hata hivyo Rapa huyo amefunguyka sabbau za kubadili jina na kutaka kuitwa jina la Ye ni kutokana na kutumika katika biblia






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags