Name: Danido Fidelis
Collage :Institute of social work
Course:Labour relation and public management
Favorite sport:football
Hobbies:Singing &Dancing
Dream:Bein...
Msanii wa muziki kutokea nchini Nigeria ameendelea kupokea mashambulizi makali kufuatia video yake ya ngono iliyovuja hivi karibuni.
Unaambiwa hadi sasa Tiwa Savage ameondolew...
Ni pigo ndivyo tunaweza kusema baada ya kusambaa kwa habari za msanii kutokea nchini Marekani Snoop Dogg za kufiwa za mama yake mzazi.
Mama wa rapa huyo amefariki dunia akiwa ...
Habari msomaji wa magazine yetu ya MwananchiScoop natumaini u mzima wa afya tele na unaendelea vema kabisa na majukumu yako ya hapa na pale.
Leo basi katika dondoo za fitness ...
Na Aisha Lungato
Natumai mko powa, Leo kwenye dondoo za urembo tumekuja na suruhisho la tatizo la kutoa harufu kinywani.Bad breath, sote tunafahamu hili tatizo, sio dogo kama ...
Mambo vipi! Leo bwana katika gumzo mitandaoni hatari fire, msanii kutoka nchini Nigeria Ayodeji Ibrahim maarufu kama Wizkid ametangaa kufanya balaa kubwa kwenye show zake kati...
Rapper kutoka nchini Tanzania Rosary Rober maarufu kama Rosa ree ametoa povu kwa Kuwajibu Baadhi Ya Mashabiki Wake Ambao Walikua Wakidauti Kuvalishwa Kwake Pete Kuwa Huenda Ik...
Msanii kutoka nchini Nigeria Wizkid Amefunguka Kuhusu Remix Ya Wimbo Wake Wa Essence Aliyoufanya naJustine Bieber kuwa Bieber mwenyewe ndiye aliyepiga simu kutaka ku...
Niaje wanangu wa Mwananchi Scoop, leo kwenye Throuback Tuesday (TBT) tumekuletea kijana ambae alifanya vizuri na kufanya nyimbo zake kukubalika sana na huyu ni&nbs...
Ee bwana moja kati ya story za huko mitandaoni ni mwanadada machachari kutokea pande za Kenya Vera Sidika na mpenzi wake Brown Mauzo wamebarikiwa kupata mtoto wa kike.
Wawili ...
Mambo vipi natumai mko poua kabisa leo bwana katika gumzo mitandaoni kumetaradadi, msanii wa bongo fleva Marioo tz ametangaza ujio wake wa tour ambapo ameipa jina la “I ...
Mambo niaje! msomaji wa Mwananchi Scoop? Leo kwenye kipengele cha Smartphone bwana nakuletea namna simu janja zinavyotengenezwa bwana au sio fuatilia dondoo hii ili uweze kuji...
Mambo niaje moja ya story inatembea mitandaoni bwana ni kuhusiana na Rapper Meek Mill amefunguka mwenyewe bwana kuwa anampango wa kuacha kufanya muziki kwa miaka mi...