Tiwa Savage akosolewa vikali

Tiwa Savage akosolewa vikali

Msanii wa muziki kutokea nchini Nigeria ameendelea kupokea mashambulizi makali kufuatia video yake ya ngono iliyovuja hivi karibuni.

Unaambiwa hadi sasa Tiwa Savage ameondolewa kuwa balozi katika kampuni nne wakiwemo Cadbury, Pampers, GLO na nyingine.

Hata hivyo baadhi ya mastaa wameanza kuchukua hatua ya kumkoso wakitaka aombe radhi kufuatia mkanda wake huo wa video ya ngono.

Najua na wewe unamaoni yako katika hili basi usisite kutupia hapo chini na  katika ukurasa wetu wa Insragram ambao ni @mwananchiscoop.

 

 

 

 

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags