Vera Sidika na mpenzi wake wapata mtoto

Vera Sidika Na Mpenzi Wake Wapata Mtoto

Ee bwana moja kati ya story za huko mitandaoni ni mwanadada machachari kutokea pande za Kenya Vera Sidika na mpenzi wake Brown Mauzo wamebarikiwa kupata mtoto wa kike.

Wawili hao wametumia ukurasa wao wa Instagram kuthibitisha kwamba wamepata mtoto huyo mapema jana Oktoba 20, mwaka huu.

“20/10/2021 at 10:21am Aprincess was born Asia Brown, You will always be the miracle that makes our life complete,” ameandika Vera Sidika


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post