15
Usiyoyajua kuhusu Miss World Opal, aliyetua Tanzania
Leo Julai 15, 2025 Tanzania imepata ugeni, Miss World 2025, Suchata Chuangsri 'Opal'. Mrembo aliyezaliwa mwaka 2003 huko Phuket, Thailand. Na yeye ndiye mwanamke wa ...
15
Jol Master: Usioe mwanamke kwa kumuonea huruma
Mchekeshaji na mwigizaji wa filamu nchini, Juma Omary maarufu Jol Master amesema mwanaume hupaswi kuoa kwa mkumbo au kumuonea huruma mwanamke.Akizungumza na Mwananchi Jol ames...
15
Ngosha atupa dongo kwa wanaume
Mwigizaji wa filamu nchini, Alex Mgeta 'Ngosha' ameweka wazi sababu ya kufanya maigizo mengi yanayomuonesha kama mwanaume mwenye msimamo.Akizungumza na Mwananchi, Ng...
15
Miss World atua Tanzania kuunga mkono Royal Tour
Mrembo wa Dunia 2024, Suchata Chuangsri maarufu kama Opal, ametua nchini leo Julai 15, 2025 kwa ziara maalumu ya kuunga mkono mpango wa Royal Tour, unaolenga kutangaza utalii ...
14
Jiongeze: Simba, Yanga kubeba ndoo ya Afrika kabla ya 2030
Simba na Yanga zamani waliishia raundi ya kwanza tu. Tena wakipangiwa timu za Waarabu walifungwa kabla ya mechi. Ajabu hivi sasa Waarabu ndo hawataki kukutana na hizi timu za ...
14
Vituko vya Bongo Movie enzi hizo
Wakati wanaanza Bongo Movie enzi hizo ilikuwa vituko tu. Mtu anaigiza kama malaika, halafu anamwambia mwenye shida kuwa: "Usijali, Mungu wa mbinguni atakusaidia." Malaika gani...
14
siri ya mafanikio ya Ommy Dimpoz
Mwimbaji wa muziki wa kizazi kipya, Ommy Dimpoz amesema kuna siri kubwa juu ya maisha yake ambayo watu wengi hawaijui.Nyota huyo anayetambulishwa na ngoma kadhaa zikiwamo...
12
Ni utamaduni wa Zuchu kuwatenga wenzake
Ikiwa ni miaka mitano tangu ametoka rasmi kimuziki, Zuchu amefanikiwa kuwa chapa kubwa yenye ushawishi katika Bongofleva na kimataifa ambapo ameshirikiana na wasanii wakubwa n...
12
Mahakama Yaeleza Chanzo Kifo Cha Mohbad
Mahakama ya Coroner ya Ikorodu, Lagos, Nigeria, imetoa ripoti rasmi kuhusu chanzo cha kifo cha mwanamuziki Ilerioluwa Aloba, maarufu kama Mohbad aliyefariki dunia Septemba 12,...
12
Kisa Pete Kajala Awekewa Ulinzi Mkali
Kama uliwahi kumkatia tamaa msanii wa Bongo Movie, Kajala Masanja kwa kudai umri umeenda na hatoweza kuolewa, basi imekula kwako, kwani tayari ameshavalishwa pete ya uchumba n...
12
Drake Afuta Tattoo Ya Lebron James
Mkali wa Hip Hop kutoka Canada Drake, amezua gumzo mitandaoni baada ya kuonekana amefuta tattoo ya mchezaji nyota wa mpira wa kikapu, LeBron James, aliyokuwa ameichora kwenye ...
12
French Montana na Binti wa Mfalme kuna namna
Peter Akaro  Staa muziki Marekani, French Montana ambaye pia ana asili ya Morocco ameonekana kwa mara nyingine tena akiwa na anayetajwa kuwa mpenzi wake mpya, na huyu si ...
11
Jux : Ndoa Yangu Ya Ukweli Ni Nikka, Nyingine Za Uongo
Baada ya kuwepo kwa sintofahamu katika ndoa ya mwanamuziki Juma Jux na mke wake Pricy akidaiwa kufunga ndoa ya Kikristo na Kiislam hatimaye msanii huyo ameweka wazi kuhusiana ...
11
Kukosea Ni Kujifunza Amini!
Michael Anderson Huwa hatupendi kukosea kwa sababu tunachukulia kukosea ni kutokujua na kushindwa. Lakini kukosea ndiyo mwanzo mzuri wa kujifunza. Unapokosea unakuwa na fursa...

Latest Post