“Mimi ni binti mwenye future ambaye siku moja nategemea kuwa mama, kuwa na familia, natakiwa ni work katika misingi mizuri ambayo nimelelewa na fashion ndiyo kazi ...
Staa wa muziki nchini Canada Justin Bieber ameibuka na Tuzo ya msanii bora wa mwaka 2021 katika tuzo za VMAS(video music awards)zilizo fanyika jana.
Vilevile msanii huyo aliba...
“Usiache shule kisa kipaji kwani utajilaumu maisha yako yote elimu ni muhimu sana unaposoma unaweka akiba kama ipo ipo tu jua kuna siku elimu itakutoa kukupeleka mahali ...
Hatarii weuwee!! Jikoni leo kwenye ukurasa wa Nipe Dili nakusogezea upishi wa Makange ya Nyama bhnaa mate hayoo, nadhani utamu wa makange kwa wale waliobahatika kula unafahami...
Ohooo!!! Star wa Muziki hapa nchini Baraka the Prience ametoa taarifa njema kwa mashabiki zake juu ya ujio wa Ep yake mpya ya hivi karibuni.
Kutoka ukurasa wake wa Instagram a...
Habari msomaji wa fashion, ni wiki nyingine tena tunakutaka hapa ni kiamini kuwa u mzima wa afya tele na unaendelea na masomo pamoja na majukumu yako ya kulijenga taifa hili.
...
It’s Friday bhana kama kawaida siku hii huwa tunaruka na zile makala zote za michezo na burudani hususani kwa wasanii chipukizi kutoka vyuo mbalimbali hapa nchini....
Baadhi ya mashabiki wa staa wa filamu nchini, Wema Sepetu wamemjia juu msanii huyo baada ya kufunguka kuwa anapendwa kupiga hasa na mpenzi wake.
Wema amepokea makombora makali...
Ee bwana mara nyingi vijana wengi huingia katika mahusiano na baadae hujihusisha na kitendo cha kujamiana bila kujua jambo hilo lina faida gani kiafya.
Leo katika makala ya af...
Leo huko mitandaoni kimeumana, unaambiwa mwanamuziki nchini Tanzania, Juma Mkambala maarufu kama Jux ametoa nyimbo na kumpatia hongera aliyekuwa mpenzi wake, Vanessa Mdee kwa ...
Ebwana eeh nikwambie tu kilichojiri kutoka kwa muimbaji na muigizaji Rihanna bwana ameripotiwa kuachilia mashtaka dhidi ya baba yake mzazi, Rondald Fenty juu ya madai ya kutum...
Hatukuwa na vita kali sana na mke wangu, isipokuwa tatizo lake lilikuwa tukikorofishana kidogo zinaweza zikapita wiki mbili hadi tano anazira kuzungumza nami. kwa ...