Chris Brown kuja na bites zake

Chris Brown Kuja Na Bites Zake

Aiseee unaambiwa mambo ni moto mambo ni firee bwana kwani msanii kutoka nchini Marekani Chris Brown ameamua kutangaza mwenyewe kuja na Bites yaani Vitafunwa vyake Breezy Cosmic Crunch.

Kutoka ukurasa wake wa Instagram wa star huyo amethibitisha hilo kwa kuandika ujumbe huu “11/11 pre order Breezy’s Cosmic Crunch finally decided to create my own cereal”

Ebwaana kumekucha kwa msanii huyo ambapo ameamua kujiingiza kwenye biashara vipi unaonaje hili kwa star huyo? Itabamba au tupia comment yako hapo chini kupitia www.mwananchi scoop.co.tz.

 
Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A writer, reporter, presenter and news anchor for Mwananchi Scoop. Her writings are based on Career and skills development every Monday and entertainment, every Friday on Mwananchi Scoop. Her famous segments on Mwananchi Scoop include SMARTPHONE and NIPE DILI.

Latest Post