Kanye West amuomba Drake waungane

Kanye West amuomba Drake waungane

Unaambiwa bwana msanii kutoka nchini Marekani Kanye West ameamua Kuweka Masuala Ya Bifu Pembeni Kati yake na Drake na kwa sasa Amemualika Drake waungane Ku-Perform Pamoja Album Zao December 7 Jijini Los Angeles Ikiwa Lengo Ni Kumsaidia Larry Hoover Kutoka Gerezani

Nikukumbushe tu kuwa Larry Hoover bwana ni Muanzilishi wa Gangster Disciples (Kundi La Uhalifu) ambaye , Anatumikia Kifungo Cha Maisha Gerezani Ambapo Alifungwa Tangu Mwaka 1973 Kwa Makosa Mengi Kama Vile Uvamizi, Mauaji Na Mengine Ya Jinai.

Ebwana eeeh!!! Unafikiri kuweka tofauti zao kando na kusimama kwa pamoja kunaweza kumsaidia Larry Hoover? Yapi maoni yako msomaji wa Mwananchi scoop? Tupia hapo chini comment yako.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags