Jay-Z aifunga akaunti yake ya Instagram

Jay-Z aifunga akaunti yake ya Instagram

Baada ya kufungua akaunti ya Instagram na kupata followers zaidi ya Milioni 1.3 ndani ya masaa tatu, rapa kutokea nchini Marekani Jay –Z ameamua kuifunga akaunti yake hiyo.

Unaambiwa kuwa masaa 24 yalitosha kwa msanii huyo kupromote movie yake ya The Harder they fall kupitia ukurasa wake wa Instagram ambayo aliufungua jana.

Tuambie ndugu yangu hivi ingekuwa rahisi kwako kufungua akaunti ya Instagram na kupata followers Milioni 2 kisha ukaamua kuifunga, dondosha comment yako katika ukurasa wetu pale nasi tutaiona.

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags