Jay-Z apata followers Milioni 1 Instagram ndani ya masaa 3

Jay-Z apata followers Milioni 1 Instagram ndani ya masaa 3

Unaambiwa hii inaweza kuwa rekodi nyingine kutoka kwa Rapa wa nchini Marekani Jay-Z kupata followers Milioni moja katika mtandao wa kijamii wa Instagram ndani ya masaa matatu.

Msanii huyo ambaye jana ndio aliamua rasmi kujiunga na mtandao huo amefanikiwa kupata followers hao jambo ambalo limeendelea kuzua gumzo katika mitandao mingine ya kijamii.

Hebu niambie wewe mwenzangu tangu umejiunga na Instagram una muda gani na mpaka sasa umefanikiwa kupata followers wangapi katika akaunti yako hiyo.

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags