Harmonize atoa ujumbe kwa mashabiki

Harmonize atoa ujumbe kwa mashabiki

Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini, Rajabu Abdul maarufu kama Harmonize ameonyesha kutokubaliana na utezi wake wa kuwa mmoja ya wasanii wanaowania tuzo mbalimbali nje ya nchi.

Ikumbukwe kuwa Harmonize ametajwa kwenye tuzo kadhaa kama #AEAUSA#AFRMA.

Lakini jana kupitia ukurasa wake wa Instahram ameandika ujumbe kwenda kwa mashabiki wake akiuwataka kuwa wasijisumbue kuweka bando lao na kuliharibu kwani hajatajwa kwenye tuzo yoyote. Hicho ndicho alichoandika kupitia Insta stori yake.

Unaweza kutumbia unadhani ni kwa nini Harmonize amefikia hatua ya kuandika ujumbe huo, tupia comment yako katika ukurasa wetu wa Instagram ambao ni @mwananchiscoop.

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags