Na Tanzania tech
Ni wazi kuwa kwa sasa watu hutumia mtandao zaidi kuliko kipindi cha nyuma, hii inatokana na kukuwa na kubadilika kwa njia za mawasiliano. Kuliona hili leo nin...
Mpooo!!!? Alaaaah!Ni wiki nyingine tena ndani ya kipengele chako cha kibabe cha Smartphone karibu kwenye ukurasa huu bhana kama kawa kama dawa leo nakuletea namna utaka...
Usiku wa kuamkia jana ilitokea taarifa mbaya kwa wapenzi wa filamu kutoka nchini Mrekani baada ya taarifa kusambaa zikidai kuwa mwigizaji Michael K Williams ameku...
Moja kati ya story iliyobamba katika mitandao ya kijamii kwa siku ya jana na leo ni ya mwimbaji Staa kutoka Tanzania anayeishi Atlanta Marekani Vanessa Mdee.
Vanessa ja...
Na Aisha Lungato
Miaka ya hivi karibuni kumezuka biashara nyingi ambazo zinafanywa na watu wa kila rika na kila jinsia.
Licha ya kwamba biashara huwa haiaminiki lakini bado ku...
Ahh!! Weweee!! Star wa Filamu nchini Tanzania Rose Ndauka ambaye pia anafanya Muziki wa Hip Hop amesema kuwa yeye hafanyi Muziki wake kwa Njaaa.
Akitoa sababu ya kuzungumza ka...
Moja ya stori zilizo huzunisha wengi kupitia mitandao ya kijamii hususani Instagram ni muigizaji wa marekani Michael K Williams kufariki dunia akiwa nyumbani kwake huko New Yo...
Labda nianze na swali:Je umewahi kuwa na mtoko na mwanaume na baada ya kuwa naye karibu kwa miezi labda tuseme mitatu, sita au muda mrefu zaidi ya hapo ukamuona kuwa huyo ndiy...
Aiseee!! Mambo yamebadilika sana mtu wangu, dunia ina kwenda kwa kasii vibaya, hapa naweza kukuhabarisha kwa namna hiyo awali imezoeleka kuwa kazi ya concelling wanafanya watu...
Msanii wa muziki wa bongo fleva anayetamba na wimbo wa 'Mama Amina' Marioo amefunguka na kusema kwamba ofa za kujiunga na lebo ya Kings Music Records na Wasafi hazikufanikiwa ...
Kwenye hii dunia bhana kila mmoja ana namna ya kujikomboa kwenye maisha yake na kuhakikisha kwa namna yoyote ile anafikia matanio au azma aliyojiwekea yeye binafsi.
Ni Ijumaa ...
Kimeumana huko mwigizaji wa filamu yvone cherrie maarufu kama monalisa amewaomba radhi watanzania na mashabiki zake kwa ujumla baada ya mtoto wake Sonia kutoa kauli ilioleta g...