Kim Kardashian, Pete Davison je ni Wapenzi

Kim Kardashian, Pete Davison je ni Wapenzi

Ohooo!! Mambo yametaradadi bwana unaambiwa Kim Kadashian inasemekana kuwa huenda akawa ameingia penzini na Mchekeshaj maarufu Pete Davison ambaye anatokea kule nchini Marekani.

Ebwana unaambiwa wawili hao wameonekana kuwa na ukaribu ambao sio wakawaida jambo ambalo limewashtua mashabiki na kuweka wasiwasi kuwa huwenda wakawa wapenzi.

Wawili Hawa Wameingia Kwenye Uvumi Wa Kuwa Penzini Baada Ya Kuonekana Wakishikana Mikono Kimahaba Zaidi Na Hata Siku Moja Kabla Tukio Hilo Wanatajwa Kuwa Kwenye Hoteli Moja Huko Los Angeles Wakila Bata Pamoja

Je, kuwa ukaribu kati ya wawili hao wanaweza kuwa wapenzi?nini maoni yako juu ya jambo hili.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags