Puneeth Rajkumar Afariki dunia

Puneeth Rajkumar Afariki Dunia

Breaking News!

Muigizaji na Mtayarishaji wa filamu kutoka India Puneeth Rajkumar maarufu kama Appu amefariki Dunia leo Ijumaa Oktoba 29, 2021 kwa mshtuko wa moyo.

Appu alikuwa akifanya mazoezi katika gym yake ghafla akaanguka na kukimbizwa hospitali ambapo mauti yalimkuta.

Appu alikuwa na Umri wa miaka 46.


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post