21 Savage kufungua shule yake

21 Savage kufungua shule yake

Moja kati ya stori ambayo imebamba mitandaoni ni hii hapa kuhusiana na Rapa kutoka nchini Marekani 21Savage bwana unaambiwa anataka kujenga shule.

Taarifa hiyo  bwana imethibitishwa na Rapa huyo kupitia ukurasa wake wa Twitter akiandika maneno haya “ I want To build A School”21savage.

Hata hivyo katika posti yake hiyo watu wengi wameonesha kufurahishwa sana na jambo  hilo na kumtakia kila la kheri kwenye  mpango huo.

Ebwana eeh!! Hii imekaaje kibongo bongo unafikiri star gani anaweza kulifanya hili? Tupia comment yako hapo kupitia www.mwananchi scoop co.tz.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags