Wizkid aahidi makubwa show London

Wizkid aahidi makubwa show London

Mambo vipi! Leo bwana katika gumzo mitandaoni hatari fire, msanii kutoka nchini Nigeria Ayodeji Ibrahim maarufu kama Wizkid ametangaa kufanya balaa kubwa kwenye show zake katika ukumbi wa o2 Arena jijini London.


Wizkid kupitia ukurasa wake wa Instagram kwenye instastory yake alifunguka na kueleza kuwa ‘’ 'London hii itakuwa show kubwa ambayo hamjawahi kuiona’’


Wizkid anatarajia kutumbuiza kwenye ukumbi wa o2 Arena Jijini London Uingereza mnamo November 28 ,29 na November 30, 2021.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags